16 Wakati huo, Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, atawaokoa,maana wao ni kundi lake;nao watang'aa katika nchi yakekama mawe ya thamani katika taji.
Kusoma sura kamili Zekaria 9
Mtazamo Zekaria 9:16 katika mazingira