Zekaria 9:5 BHN

5 Mji wa Ashkeloni utaona hayo na kuogopa,nao mji wa Gaza utagaagaa kwa uchungu;hata Ekroni, maana tumaini lake litatoweka.Mji wa Gaza utapoteza mfalme wake,nao Ashkeloni hautakaliwa na watu.

Kusoma sura kamili Zekaria 9

Mtazamo Zekaria 9:5 katika mazingira