Zekaria 9:9 BHN

9 Shangilieni sana enyi watu wa Siyoni!Paazeni sauti, enyi watu wa Yerusalemu!Tazama, mfalme wenu anawajieni,anakuja kwa shangwe na ushindi!Ni mpole, amepanda punda,mwanapunda, mtoto wa punda.

Kusoma sura kamili Zekaria 9

Mtazamo Zekaria 9:9 katika mazingira