Zekaria 9:8 BHN

8 Mimi mwenyewe nitailinda nchi yangu,nitazuia majeshi yasipitepite humo.Hakuna mtu atakayewadhulumu tena watu wangu,maana, kwa macho yangu mwenyewe,nimeona jinsi walivyoteseka.”

Kusoma sura kamili Zekaria 9

Mtazamo Zekaria 9:8 katika mazingira