Mt. 13:21 SUV

21 lakini hana mizizi ndani yake, bali hudumu kwa muda; ikitukia dhiki au udhia kwa ajili ya lile neno, mara huchukizwa.

Kusoma sura kamili Mt. 13

Mtazamo Mt. 13:21 katika mazingira