Mt. 13:22 SUV

22 Naye aliyepandwa penye miiba, huyo ndiye alisikiaye lile neno; na shughuli za dunia, na udanganyifu wa mali hulisonga lile neno; likawa halizai.

Kusoma sura kamili Mt. 13

Mtazamo Mt. 13:22 katika mazingira