Mt. 15:31 SUV

31 hata ule mkutano wakastaajabu, walipowaona mabubu wanasema, vilema wanakuwa wazima, viwete wanakwenda, na vipofu wanaona; wakamtukuza Mungu wa Israeli.

Kusoma sura kamili Mt. 15

Mtazamo Mt. 15:31 katika mazingira