Mt. 15:32 SUV

32 Yesu akawaita wanafunzi wake, akasema, Nawahurumia mkutano, kwa kuwa yapata siku tatu wamekaa pamoja nami, wala hawana kitu cha kula, tena kuwaaga wakifunga sipendi, wasije wakazimia njiani.

Kusoma sura kamili Mt. 15

Mtazamo Mt. 15:32 katika mazingira