Mt. 2:7 SUV

7 Kisha Herode akawaita wale mamajusi faraghani, akapata kwao hakika ya muda tangu ilipoonekana ile nyota.

Kusoma sura kamili Mt. 2

Mtazamo Mt. 2:7 katika mazingira