Mt. 2:8 SUV

8 Akawapeleka Bethlehemu, akasema, Shikeni njia, mkaulize sana mambo ya mtoto; na mkiisha kumwona, nileteeni habari, ili mimi nami niende nimsujudie.

Kusoma sura kamili Mt. 2

Mtazamo Mt. 2:8 katika mazingira