Mt. 2:9 SUV

9 Nao waliposikia maneno ya mfalme, walishika njia; na tazama, ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, hata ikaenda ikasimama juu ya mahali alipokuwapo mtoto.

Kusoma sura kamili Mt. 2

Mtazamo Mt. 2:9 katika mazingira