Mt. 21:32 SUV

32 Kwa sababu Yohana alikuja kwenu kwa njia ya haki, ninyi msimwamini; lakini watoza ushuru na makahaba walimwamini, nanyi hata mlipoona, hamkutubu baadaye, ili kumwamini.

Kusoma sura kamili Mt. 21

Mtazamo Mt. 21:32 katika mazingira