Mt. 21:33 SUV

33 Sikilizeni mfano mwingine. Kulikuwa na mtu mwenye nyumba, naye alipanda shamba la mizabibu, akalizungusha ugo, akachimba shimo la shinikizo ndani yake, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri.

Kusoma sura kamili Mt. 21

Mtazamo Mt. 21:33 katika mazingira