Mt. 25:1 SUV

1 Ndipo ufalme wa mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi.

Kusoma sura kamili Mt. 25

Mtazamo Mt. 25:1 katika mazingira