Mt. 6:25 SUV

25 Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi?

Kusoma sura kamili Mt. 6

Mtazamo Mt. 6:25 katika mazingira