Mt. 9:18 SUV

18 Alipokuwa akiwaambia hayo, tazama, akaja jumbe mmoja, akamsujudia, akisema, Binti yangu sasa hivi amekufa; lakini njoo, uweke mkono wako juu yake, naye ataishi.

Kusoma sura kamili Mt. 9

Mtazamo Mt. 9:18 katika mazingira