2 Fal. 1:12 SUV

12 Eliya akajibu, akamwambia, Ikiwa mimi ni mtu wa Mungu, na ushuke moto kutoka mbinguni, ukuteketeze wewe na hamsini wako. Moto wa Mungu ukashuka kutoka mbinguni, ukamteketeza, yeye na hamsini wake.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 1

Mtazamo 2 Fal. 1:12 katika mazingira