14 Tazama, moto ulishuka kutoka mbinguni, ukawateketeza wale akida wa hamsini wawili wa kwanza pamoja na hamsini wao; laiti sasa roho yangu na iwe na thamani machoni pako.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 1
Mtazamo 2 Fal. 1:14 katika mazingira