2 Fal. 1:2 SUV

2 Na Ahazia akaanguka katika dirisha la chumba chake orofani, katika Samaria, akaugua; akatuma wajumbe, akawaambia, Enendeni mkaulize kwa Baal-zebubu, mungu wa Ekroni, kwamba nitapona ugonjwa huu.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 1

Mtazamo 2 Fal. 1:2 katika mazingira