2 Fal. 10:1 SUV

1 Basi Ahabu alikuwa na wana sabini katika Samaria. Yehu akaandika barua, akazipeleka Samaria kwa wakuu wa Yezreeli, yaani, wazee na hao walezi wa wana wa Ahabu, kusema,

Kusoma sura kamili 2 Fal. 10

Mtazamo 2 Fal. 10:1 katika mazingira