2 Fal. 10:17 SUV

17 Naye alipofika Samaria, aliwapiga wote waliomsalia Ahabu katika Samaria, hata akamwangamiza, sawasawa na neno la BWANA alilomwambia Eliya.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 10

Mtazamo 2 Fal. 10:17 katika mazingira