2 Fal. 10:30 SUV

30 BWANA akamwambia Yehu, Kwa kuwa umetenda vema kwa kufanya vilivyo haki machoni pangu, kuitendea nyumba ya Ahabu sawasawa na yote yaliyomo moyoni mwangu, wana wako wa kizazi cha nne watakaa kitini mwa Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 10

Mtazamo 2 Fal. 10:30 katika mazingira