33 kutoka Yordani upande wa mashariki, nchi yote ya Gileadi, na ya Wagadi, na Wareubeni, na Wamanase, kutoka Aroeri iliopo karibu na bonde la Arnoni, yaani, Gileadi, na Bashani.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 10
Mtazamo 2 Fal. 10:33 katika mazingira