2 Fal. 12:1 SUV

1 Katika mwaka wa saba wa Yehu, Yoashi alianza kutawala; akatawala miaka arobaini huko Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Sibia wa Beer-sheba.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 12

Mtazamo 2 Fal. 12:1 katika mazingira