2 Fal. 12:13 SUV

13 Lakini havikufanywa kwa nyumba ya BWANA vikombe vya fedha, wala makasi, wala mabakuli, wala panda, wala vyombo vyo vyote vya dhahabu, wala vyombo vya fedha, kwa hiyo fedha iliyoletwa nyumbani mwa BWANA;

Kusoma sura kamili 2 Fal. 12

Mtazamo 2 Fal. 12:13 katika mazingira