16 Lakini fedha ya matoleo ya kosa, na fedha ya matoleo ya dhambi, haikuletwa nyumbani mwa BWANA; hiyo ilikuwa ya makuhani wenyewe.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 12
Mtazamo 2 Fal. 12:16 katika mazingira