2 Fal. 13:18 SUV

18 Akasema, Itwae mishale; akaitwaa. Akamwambia mfalme wa Israeli, Piga chini; akaipiga nchi mara tatu, akaacha.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 13

Mtazamo 2 Fal. 13:18 katika mazingira