21 Ikawa, walipokuwa wakimzika mtu, angalia, waliona kikosi; wakamtupa yule mtu kaburini mwa Elisha; mara yule maiti alipoigusa mifupa ya Elisha, alifufuka, akasimama kwa miguu.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 13
Mtazamo 2 Fal. 13:21 katika mazingira