23 Lakini BWANA akawahurumia, akawasikitikia, na kuwaangalia, kwa ajili ya agano lake na Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, wala hakutaka kuwaangamiza, wala hakuwatupa usoni pake bado.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 13
Mtazamo 2 Fal. 13:23 katika mazingira