2 Fal. 13:25 SUV

25 Naye Yehoashi, mwana wa Yehoahazi, akaitwaa tena mkononi mwa Ben-hadadi mwana wa Hazaeli miji ile aliyoitwaa yeye mkononi mwa Yehoahazi baba yake vitani. Mara tatu Yehoashi akamshinda, akairudisha miji ya Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 13

Mtazamo 2 Fal. 13:25 katika mazingira