2 Fal. 14:17 SUV

17 Naye Amazia mwana wa Yoashi mfalme wa Yuda akaishi baada ya kufa kwake Yehoashi mwana wa Yehoahazi mfalme wa Israeli miaka kumi na mitano.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 14

Mtazamo 2 Fal. 14:17 katika mazingira