27 Wala BWANA hakusema ya kwamba atalifuta jina la Israeli litoke chini ya mbingu; lakini akawaokoa kwa mkono wa Yeroboamu mwana wa Yehoashi.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 14
Mtazamo 2 Fal. 14:27 katika mazingira