2 Fal. 14:6 SUV

6 ila hakuwaua watoto wa hao wauaji; kama ilivyoandikwa katika kitabu cha torati ya Musa, kama alivyoamuru BWANA, akisema, Mababa wasife kwa makosa ya wana, wala wana wasife kwa makosa ya mababa; lakini kila mtu atakufa kwa kosa lake mwenyewe.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 14

Mtazamo 2 Fal. 14:6 katika mazingira