10 Na Shalumu mwana wa Yabeshi akafanya fitina juu yake, akampiga mbele ya watu, akamwua, akatawala mahali pake.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 15
Mtazamo 2 Fal. 15:10 katika mazingira