13 Huyo Shalumu mwana wa Yabeshi alianza kutawala katika mwaka wa thelathini na kenda wa Uzia mfalme wa Yuda; akatawala muda wa mwezi mmoja katika Samaria.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 15
Mtazamo 2 Fal. 15:13 katika mazingira