23 Katika mwaka wa hamsini wa Uzia mfalme wa Yuda Pekahia mwana wa Menahemu alianza kutawala juu ya Israeli hatika Samaria; akatawala miaka miwili.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 15
Mtazamo 2 Fal. 15:23 katika mazingira