2 Fal. 15:27 SUV

27 Katika mwaka wa hamsini na mbili wa Uzia mfalme wa Yuda Peka mwana wa Remalia alianza kutawala juu ya Israeli katika Samaria; akatawala miaka ishirini.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 15

Mtazamo 2 Fal. 15:27 katika mazingira