30 Na Hoshea mwana wa Ela akafanya fitina juu ya Peka mwana wa Remalia, akampiga, akamwua, akatawala mahali pake, katika mwaka wa ishirini wa Yothamu mwana wa Uzia.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 15
Mtazamo 2 Fal. 15:30 katika mazingira