2 Fal. 15:33 SUV

33 Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala miaka kumi na sita katika Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Yerusha binti Sadoki.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 15

Mtazamo 2 Fal. 15:33 katika mazingira