2 Fal. 15:38 SUV

38 Yothamu akalala na babaze, akazikwa pamoja na babaze katika mji wa Daudi baba yake. Na Ahazi mwanawe akatawala mahali pake.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 15

Mtazamo 2 Fal. 15:38 katika mazingira