25 Basi ikawa, wakati ule walipoanza kukaa huko, hawakumcha BWANA; kwa hiyo BWANA akapeleka simba kati yao, nao wakawaua baadhi yao.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 17
Mtazamo 2 Fal. 17:25 katika mazingira