27 Ndipo mfalme wa Ashuru akatoa amri, akasema, Mpelekeni mmojawapo wa makuhani, mliowachukua kutoka huko; aende akakae huko, akawafundishe kawaida ya Mungu wa nchi.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 17
Mtazamo 2 Fal. 17:27 katika mazingira