2 Fal. 17:29 SUV

29 Lakini pamoja na hayo watu wa kila taifa wakajifanyia miungu yao wenyewe, wakaiweka katika nyumba za mahali pa juu, walipopafanya Wasamaria, kila taifa katika miji yao walimokaa.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 17

Mtazamo 2 Fal. 17:29 katika mazingira