2 Fal. 17:34 SUV

34 Hata siku hii ya leo hufanya sawasawa na kawaida za kwanza; wala hawamwogopi BWANA, wala hawazifuati sheria zao, wala hukumu zao, wala ile torati, wala ile amri BWANA aliyowaamuru wana wa Yakobo, ambaye alimpa jina la Israeli;

Kusoma sura kamili 2 Fal. 17

Mtazamo 2 Fal. 17:34 katika mazingira