2 Fal. 17:36 SUV

36 ila yeye BWANA, aliyewaleta kutoka nchi ya Misri kwa nguvu nyingi, na kwa mkono ulionyoshwa, yeye ndiye mtakayemcha, yeye ndiye mtakayemsujudia, yeye ndiye mtakayemtolea sadaka;

Kusoma sura kamili 2 Fal. 17

Mtazamo 2 Fal. 17:36 katika mazingira