41 Basi mataifa hawa wakamcha BWANA, tena wakaziabudu sanamu zao za kuchongwa; na wana wao vile vile, na wana wa wana wao; kama walivyofanya baba zao, wao nao hufanya vivyo hivyo hata leo.
Kusoma sura kamili 2 Fal. 17
Mtazamo 2 Fal. 17:41 katika mazingira