2 Fal. 18:16 SUV

16 Wakati huo Hezekia aliiondoa dhahabu iliyokuwa juu ya milango ya hekalu la BWANA, na juu ya nguzo, ambazo Hezekia, mfalme wa Yuda, alikuwa amezitia dhahabu, akampa mfalme wa Ashuru.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 18

Mtazamo 2 Fal. 18:16 katika mazingira