2 Fal. 18:31 SUV

31 Msimsikilize Hezekia; kwa sababu mfalme wa Ashuru asema hivi, Fanyeni suluhu na mimi, mkatoke mnijie; mkale kila mtu matunda ya mzabibu wake na matunda ya mtini wake, mkanywe kila mmoja maji ya birika lake mwenyewe;

Kusoma sura kamili 2 Fal. 18

Mtazamo 2 Fal. 18:31 katika mazingira