2 Fal. 18:4 SUV

4 Alipaondoa mahali pa juu, akazibomoa nguzo, akaikata hiyo Ashera; akaivunja vipande vipande ile nyoka ya shaba aliyoifanya Musa; maana hata siku zile wana wa Israeli walikuwa wakiifukizia uvumba; naye akaiita jina lake Nehushtani.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 18

Mtazamo 2 Fal. 18:4 katika mazingira