2 Fal. 18:9 SUV

9 Hata katika mwaka wa nne wa Hezekia, ndio mwaka wa saba wa Hoshea, mwana wa Ela, mfalme wa Israeli, Shalmanesa, mfalme wa Ashuru, akakwea ili kupigana na Samaria, akauhusuru.

Kusoma sura kamili 2 Fal. 18

Mtazamo 2 Fal. 18:9 katika mazingira